CAPITAL PLUSINTERNATIONAL LTD
Call us now : +255 783 767 785
+255 657 521 290
Marathon Registration
 • Rock City Marathon

  {{stgs.ttl}}+
  Runners
  {{stgs.r42}} 42Km, Full Marathon 21yrs & above
  {{stgs.r21}} 21Km, Half Marathon 18yrs & above
  {{stgs.r05}} 5Km, Classic Race ( for Corporates)
  {{stgs.r03e}} 3Km, for Runner with Physical Disabilities
  {{stgs.r03}} 3Km, for Elders
  {{stgs.r25}} 2.5Km, for Children 7-10yrs
  • 00 Days
  • 00 Hours
  • 00 Mins
  • 00 Sec
 • Marathons Terms and Conditions

  SWAHILI - Waiver of Liability

  Washiriki wa mashindano ya RCM 2017. Wanakubali na kuridhia ya kuwa pamoja na kwamba waandaaji wamechukua tahadhari ya kuhakikisha usalama wa washiriki katika mashindano hayo, bado kuna uwezekano wa ajali na hatari kutokea. Washiriki kwa ridhaa yao wenyewe wameafiki kushiriki mashindano hayo wakijua fika uwezekano wa ajali inayoweza kuhatarisha maisha yao, na kwa ajili hiyo wanatoa kinga ya kutodai fidia au madai ya aina yeyote ile yatokanayo na mashindano hayo dhidi ya waandaaji, wafadhili wa mashindano haya, Watangazaji, serikali za mtaa au mamlaka yeyote, wakurugenzi, wafanyakazi, wageni na wasaidizi wao waliotajwa hapa, pamoja na mtu binafsi, afisa au wakala. Washiriki wanaahidi kutodai fidia au madai ya aina yeyote ile (iwe imesababishwa moja kwa moja au la, iwe imesababishwa kwa uzembe au la, au kwa kushiriki au kuhusika katika kupita njia au kwa tukio au kwa namna nyingine) ikijumlisha na pasipo kuhusisha ucheleweshaji, usumbufu au aidha, ajali, kifo, kuumia, ugonjwa kwa watu wao, au hasara au uharibifu kwenye mali au gharama na matumizi yaliyofanyika, kufanyika au kuwekwa na washiriki au/na mtoto yeyote chini ya uangalizi au msimamizi wa washiriki. Mzazi/wazazi au mwangalizi/waangalizi wa watoto watakao waruhusu mtoto/watoto wao kushiriki katika tukio itawapasa kuweka saini katika fomu hii, ikiwa ni ushahidi wao wa wazi wa kuridhia na kuafiki masharti yote ya kushiriki katika mashindano, na aidha kutofidia kwa wahusika kwa kiwango iwapo kipo, ambacho mtoto hatoweza kuondoa haki ya madai yake kama ilivyoelenzwa hapo juu. Mimi ninathibitisha ya kua nina uwezo, mamlaka na/au kuidhinisha kwa fomu hii na ninakubaliana na masharti na matakwa yaliyoelezwa humu. Aidha ninatoa ruhusa na ridhaa ya kutumia pasipo malipo au madai ya aina yoyote, jina langu, sauti, picha yangu (Iliyosimama, kukaa, au inayotembea/kukimbia) itumike katika matangazo, mawasiliano ya aina yeyote yale, promosheni au aina nyingine na yeyote ile ya matangazo sasa na kwa matukio ya baadae.

  ENGLISH - Waiver of Liability

  I understand that the Rock City Marathon-2017 event will be held over public roads and facilities open to the public. Although the organizers have taken precautions to ensure the safety of the participants in the competition, there is still a possibility upon which hazards are to be expected and cannot be eliminated or controlled. I further agree that participating in the Rock City Marathon is an activity that may involve risk of injury or death, risk of permanent or partial disability, and further, may result in economic losses through medical or hospital bills, and damages to real and/or personal property. I agree that in consideration of being permitted to participate in the event, I release, waive, discharge and covenant not to sue the event organizer, contestants, sponsors, competitors, local government authorities, directors, employees, visitors and their deputy mentioned herein, as well as individuals, officers or agents for any and all losses or damages, any and all claims or demands, and any other injury or loss to me or my property or resulting in my death, whether caused by the active or passive negligence of the organizer of Rock City Marathon, arising from or related to my participation in the marathon or loss or damage to property or expenses and expenses carried out, or placed by any participant or child under the supervision or supervisor of the participants. I hereby certify that I have the power, authority and/or approval of this form and agree with the terms and conditions set out herein. In addition, I give you permission and consent to use free or any kind of claim, my name, sound, my image (Standing, sitting, or walking/running) in advertising, any kind of communication, promotion or other form of any kind of advertisements now and in the future events.